Featured post

POETRY RUNS THE UNIVERSE

Friday, 15 January 2016

HII PIECE






HII PIECE

Hii piece inanukia nikama imepuliziwa verseman
nakaa roho yako ni nzito itaibeba kama superman
ukifika kwenye web ime-spread design ya spinderman
na ata ukiuliza Aloe blacc atakwambia am the man
ju i don't need the key to your heart i need the key hole niite antman

Every time you passing i go kokoo design ya Elani
and my only wish ni kaa ningekujua zamani
ju am sure tungekua na ukoo kaa ule Flani
and in my arms forever ningeku-rap kaa Ice Prince zamani

each time nikikuona nakuanga nisha-cool design ya Tupac
ju when talking of quality ata Kebs can confirm you dont need the diamond mark
coz beauty you were given and i can confirm it wasn't a luck
no wonder Red San alibaki speechless and the only wonders alikushow ni show di back.

its true you are hot kuliko 96
thats why love yangu kwako si kapyenga ata uliza shiks
in love you are my doctor na kaa Dre am your beats
thats why ki-sauti sol you can shake your bam bams to my heart beats

Na kaa ungekuwa picha i swear kwako ningekuwa caption
i would hold you kila siku yaani Daily kaa nation
na kaa Jason love ningekuletea ki-slow motion
hadi ma-neighbor wak
iniona wanaulizana nikukaliwa chapati ama ni love portion.